Image Image Image Image Image Image Image Image Image Image
Scroll to top

Top

SIMU MPYA ZA NOKIA 6 ZAIRUDISHA KAMPUNI YA NOKIA KWENYE SOKO LA SIMU ZA ANDROID KWA KISHINDO

January 24, 2017 |

Kampuni ya Nokia imerudi upya katika ulimwengu wa ushindani wa simu za Smartphone zenye mfumo wa android baada ya wiki hii kuingiza sokoni simu mpya aina ya Nokia 6 na kuuzika kwa muda wa dakika moja.

Nokia kwa sasa ipo … Read More

BAADA YA UCHUNGUZI SAMSUNG YATOA SABABU KUU YA KULIPUKA KWA SIMU ZAKE AINA YA NOTE 7

January 23, 2017 |

Uchunguzi uliofanywa na Samsung kuhusu visa vya simu aina ya Galaxy Note 7 kushika moto, umebaini kwamba visa hivyo vilitokana na kasoro kwenye betri.

Kampuni hiyo iliacha kutengeneza na kuuza simu hizo Oktoba mwaka jana baada ya visa hivyo kuripotiwa … Read More

TEKNOLOJIA YA KUZUIA MILIPUKO YA BETRI ZA SIMU YAZINDULIWA MAREKANI

January 18, 2017 |

Kemikali zinazohusika na kuzuia moto wa aina yeyote, (flame retardant triphenyl phosphate), zimewekwa sambamba na mjumuiko wa kemikali zinazohifadhi chaji, electrolyte fluid, ndani ya betri. Kwa namna yeyote ile kama joto katika mjumuiko huo wa electrolyte utafika nyuzi 150 za … Read More

M-PAPER: NJIA MPYA YA KUSOMA MAGAZETI MTANDAONI NA KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI; JIFUNZE HAPA

December 16, 2016 |

Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, kwa sasa maisha yamerahisishwa sana. Huna haja ya kutumia nguvu kubwa sana kutafuta bidhaa. Unaweza kukaa ndani tu na ukafanya manunuzi yako kwa kutumia simu yako ya mkononi tu na bidhaa ikakufikia popote … Read More

MABADILIKO MAPYA INSTAGRAM: SASA UNAWEZA KU-LIKE NA KU-COMMENT KWENYE COMMENT YA MTU KAMA FACEBOOK

December 7, 2016 |

Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyoboreshwa kila siku, Instagram imeingia kwenye headlines ambapo December 6 2016 imefanyiwa maboresho zaidi ambapo awali mtu alikuwa anaweza  ku-comment kwenye picha ya mtu na bila kuwa na uwezo wa … Read More

MATAIFA YA ULAYA KUPELEKA CHOMBO MAALUM KINACHOWEZA KUSAFIRI KWENYE SAYARI YA MARS MWAKA 2021

December 5, 2016 |

Mawaziri wa utafiti kutoka bara Ulaya wanaokutana mjini Lucerne, Uswizi wamesisitiza kwamba mpango wa kutuma chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya Mars mwaka 2021 bado utaendelea ambapo wameahidi kutoa jumla ya euro €436m ambazo zinahitajika kufanikisha mpango huo.

Read More

APPLE YATANGAZA KUUNDA MAGARI YANAYOJIENDESHA

December 5, 2016 |

Kampuni ya Apple imetangaza mipango yake ya kuunda magari yanayojiendesha. Kampuni hiyo imekiri hayo kwa mara ya kwanza kwenye barua kwa wasimamizi wa uchukuzi Marekani.

Apple imesema inafurahishwa sana na uwezo wa mifumo ya kutumia kompyuta kwenye maeneo mengi, … Read More

MALORI YANAYOTUMIA MAFUTA YA DIESEL KUPIGWA MARUFUKU IFIKAPO MWAKA 2025

December 2, 2016 |

Mameya kutoka miji minne mikubwa duniani wamesema watapiga marufuku magari na malori yanayotumia mafuta ya Diesel katika miji yao ifikapo mwaka 2025.

Viongozi hao kutoka miji ya Paris, Mexico City, Madrid na Athens wamesema wanataka kuhakikisha kuwepo na hewa … Read More

APPLE YAWAONYA WATUMIAJI WAKE JUU YA UWEPO WA CHAJI BANDIA AMBAZO SI SALAMA

December 2, 2016 |

Wachunguzi wamewaonya wateja kuwa wanakabiliwa na hatari kubwa baada ya kubainika kuwa asilimia 99 ya chaja bandia za vifaa vya Apple haziko salama.

Wakaguzi wa viwango vya bidhaa wamesema kuwa vifaa bandia vya kielektroniki ni vingi mno.

Kati ya … Read More

NI RAHISI KUPATA NAMBA YA SIMU YA MTU KAMA UNATUMIA APP HIZI HAPA…

November 29, 2016 |

Siku hizi, kutokana na tabia ya watu kutumia programu tumishi kwa wingi kwenye simu zao, ni kawaida kwa nambari za simu za watu hupatikana kwa urahisi mtandaoni.

Uchunguzi unaonesha kwamba nambari za watu kama vile waziri mkuu wa zamani … Read More